tag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post5232026339122222702..comments2022-03-04T01:29:37.115+00:00Comments on MWENYE MACHO...: KARIBU KWA MWENYE MACHO...Bob Sankofahttp://www.blogger.com/profile/15161750279019370878noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-69377627400395655962008-08-10T00:31:00.000+00:002008-08-10T00:31:00.000+00:00nawa mwenye macho nimekukubali, naomba tupeana upd...nawa mwenye macho nimekukubali, naomba tupeana updates kuhusu TED na ikiwezekana tuufungue uma zaidi kuhusu mkutano huu kwani hii ndio kazi yetu wanablogu(ingawa mimi ndio nimeingia kwenye fani kama http://www.mnyama.blogspot.com)

Namaanisha kuwafungua kwa mtindo wa kuwafanya wahudhurie kwa wingi zaidi na sio kwa kuwaelezea tu nini kilichojiri.

Ahsante.kibongobongohttps://www.blogger.com/profile/05520820972145080678noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-85219467138372548832007-06-12T18:17:00.000+00:002007-06-12T18:17:00.000+00:00Tutakuwa pamoja ndugu, mimi sina blogu ila nimsoma...Tutakuwa pamoja ndugu, mimi sina blogu ila nimsomaji mzuri wa blogu karibu zote hasa zenye mtazamo wa kiafrika- Mlewa(Amani ensemble)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-72476355716387405522007-06-11T09:22:00.000+00:002007-06-11T09:22:00.000+00:00Karibu sana Sankofa!Karibu sana Sankofa!Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-1660645572720975222007-06-08T09:58:00.000+00:002007-06-08T09:58:00.000+00:00Egidio asante sana kwa kuniunga mkono, wewe unayo ...Egidio asante sana kwa kuniunga mkono, wewe unayo blogu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-71562891256977368332007-06-06T18:03:00.000+00:002007-06-06T18:03:00.000+00:00Karibu Bob Sankofa.Sisemi sana natazama tu!Karibu Bob Sankofa.Sisemi sana natazama tu!Egidio Ndabagoyehttps://www.blogger.com/profile/09536451761854031212noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-65395260727854589852007-06-06T10:42:00.000+00:002007-06-06T10:42:00.000+00:00Ni kweli kabisa Ndesanjo. Blogu ni kama dawa ya ku...Ni kweli kabisa Ndesanjo. Blogu ni kama dawa ya kulevya, kabla hujaitilia maanani unaona haina thamani. Ila ukiianza bwana, kila ukipata kitu unataka ukikimbize mara moja. Yani kama teja kaonyeshwa unga. :-)

Mlioko nje mnachelewa, twendeni sasa.Bob Sankofahttps://www.blogger.com/profile/15161750279019370878noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-87892949622159686992007-06-06T09:12:00.000+00:002007-06-06T09:12:00.000+00:00Haambiwi tazama...Karibu sana. Nategemea tutaelimi...Haambiwi tazama...
Karibu sana. Nategemea tutaelimishwa na kuburudishwa na kazi zako.Anonymousnoreply@blogger.com