tag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post6400150023872750222..comments2022-03-04T01:29:37.115+00:00Comments on MWENYE MACHO...: KAZI NA DAWABob Sankofahttp://www.blogger.com/profile/15161750279019370878noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-16108624048641372852007-06-20T06:58:00.000+00:002007-06-20T06:58:00.000+00:00Nashukuru kwa kuweka kiunganishi cha blogu hii kwe...Nashukuru kwa kuweka kiunganishi cha blogu hii kwenye blogu yako, nami nitarejesha fadhila muda si mfupi.

Nashukuru pia kwa wazo la kukuza picha. Ila ukibofya hapo kwenye picha itakupeleka kwenye ukurasa amabo unakuapa ukubwa wa picha halishi.

Nina mpango wa kuanza kupandisha na video pia muda si mfupi.Bob Sankofahttps://www.blogger.com/profile/15161750279019370878noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-86203886637048532892007-06-20T06:57:00.000+00:002007-06-20T06:57:00.000+00:00Nashukuru kwa kuweka kiunganishi cha blogu hii kwe...Nashukuru kwa kuweka kiunganishi cha blogu hii kwenye blogu yako, nami nitarejesha fadhila muda si mfupi.

Nashukuru pia kwa wazo la kukuza picha. Ila ukibofya hapo kwenye picha itakupeleka kwenye ukurasa amabo unakuapa ukubwa wa picha halishi.

Nina mpango wa kuanza kupandisha na video pia muda si mfupi.Bob Sankofahttps://www.blogger.com/profile/15161750279019370878noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-69039615908823168822007-06-19T15:25:00.000+00:002007-06-19T15:25:00.000+00:00Sankofa, mie siyo bwana picha! Takriban miaka 16 i...Sankofa, mie siyo bwana picha! Takriban miaka 16 iloyopita, ilikuwa hobby yangu, lakini siku hizi sina hamu sana.

Nilipenda picha yako. Ulivutiwa na mwanga mezani. Na sisi tulivutiwa na picha.

Napendekeza picha zako ziwe kubwa zaidi kwenye blogu.

Pia, niliweka blog yako kwa 'blogroll' yangu. Kwa sababu sisi wawili tulianza hivi karibuni, pia nilipenda taarifa zako zaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-34427618923948744402007-06-19T13:13:00.000+00:002007-06-19T13:13:00.000+00:00Kaka Kifimbocheza wewe pia unapiga Picha? Tafadhal...Kaka Kifimbocheza wewe pia unapiga Picha? Tafadhali tuzidi kushirikiana maujuzi.

Kaka Luihamu nafikiri inawezekana kuwa tarakilishi yako haikuwa na mwanga. Jaribu kuongeza brightness halafu punguza kidogo contrast.

Kaka Mwandani, kaka Paul amepokea salamu. Anasema hiyo siku mlikutana Delhi kuna jambo hukutaka kabisa kumuamini japo alikuapia kabisa. Sijui ilikuwa nini ila Bob Sankofahttps://www.blogger.com/profile/15161750279019370878noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-88760136855564153062007-06-19T10:50:00.000+00:002007-06-19T10:50:00.000+00:00Naomba kufikisha salamu kwa Paul... mara ya mwisho...Naomba kufikisha salamu kwa Paul... mara ya mwisho New Delhi miaka ileee... sitasahau vichupa vya rangi ulivyoninunulia...sanaa idumu. Joemwandanihttps://www.blogger.com/profile/17221079814940079302noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-39322005949870625082007-06-17T12:07:00.000+00:002007-06-17T12:07:00.000+00:00Kaka badilisha TEMPLATE yako kisha weka picha za b...Kaka badilisha TEMPLATE yako kisha weka picha za black and white la sivyo wengine hatuoni kabisa kama hii picha naona mwanga tu.

Nuff Nuff Respect.luihamuhttps://www.blogger.com/profile/06284769312694486021noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6079942217619449368.post-64349948693772797362007-06-16T18:26:00.000+00:002007-06-16T18:26:00.000+00:00ndugu Mwenye Macho, mimi napenda sana black and wh...ndugu Mwenye Macho, mimi napenda sana black and white. Inaonyesha wazi umuhimu ya giza na ya mwanga pia.

Asante kwa taarifa zako kutoka kwa TED.Anonymousnoreply@blogger.com