Anasema filamu zake anazotengeneza ni taswira ya maisha
yake. Anatuonyesha vipande vifupi vya kazi zake kama nne moja ikiwa ni ile filamu ya "Ezra". Hii ni filamu inayoonyesha jinsi vita ya wenyewe kwa wenyewe ilivyoathiri Waafrika wa pale Sierra Leon. Anatuambia sisi kama Waafrika kabla ya kusonga mbele ni lazima tugeuke nyuma kwanza ili tusijerudia makosa. Filamu hii ilishinda zawadi kubwa ya tamasha la FESPACO pamoja na United Nations Peace Promotion Prize.
Tembelea tovuti yake www.planusa.org
No comments:
Post a Comment