Aisee binadamu ni watu wa ajabu sana, katika zoezi la kuingia humu ndani hata watu wazima kabisa wanagombea nafasi za mbele. Si unajua tena. Na mimi nikiwemo :-)
Aisee nyie, hebu ngojeni kwanza! Otea ni nani anayeuanzisha mchakamchaka huu wa TED, aisee siami
ni, yani kwa macho yangu, kwa maana nyingine "live" namwona Rokia Traore stejini. Kama hujawahi kumsikia Rokia basi hujapata sikiliza muziki wa Kiafrika Magharibi wewe.
LAZIMA NIPIGE NAE PICHA, ROKIA WEEEEE! Kamua mama.
No comments:
Post a Comment