Ni muda wa jionijioni hivi, watu wametoka kunywa chai. Ni zamu ya mkong
we wa muziki wa pwani (Taarabu) kulitifua Jukwaa. Bi Kidude si mchezo aisee. Bibi wa miaka 95, cheki alivolikamatia goma, na sauti inatoka zi mchezo. Kuna hao kina dada nao mhhh! Kwa habari zaidi hebu tembelea www.jikomboe.com
Wednesday, June 6, 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment