Friday, June 29, 2007

NOTIS


Usicheze na wenye nyumba bwana. Ukikaanga sana kuliko yeye huchelewi kurudi siku moja ukakuta mambo kama haya. Wapangaji take care.

2 comments:

mwandani said...

Poa sana. kupiga na kusafisha picha kama hii katika kamera za zamani na filamu ya black and white inatakiwa kuwa na ufundi.

Anonymous said...

Kwa mtazamo wangu that kufuli was at the right place but the person living inside was at the wrong place.Wenye kukalangiza kila siku hawakaagi uswahili kisha wanatumia kufuli za viro au solex sasa wewe unaenda huku uswahilini kuumiza watu pua zao unategemea nini.Mwenye nyumba kala ugali na chunga la kuchemsha wewe unategemea atakuacha wakati watoto wake wanamuambia baba mbona kwetu hakunukii kama kwa kina Juma?
DAUDI AMIRI MMBAGA